Juzi nilisema hapa,kifurushi chenu cha kufurahi na kucheka kimekaribia kwisha baadhi ya wanautopolo mkanibeza
Ona sasa Jana kilichotokea..GSM wala hana habari maana business yake ya kuuza jezi na kutangaza magodoro inamwendea vizuri kabisa,tena kamuajiri manara aendelee kupiga Debe baaada ya kuona nugaz anapwaya
Acheni kujifariji,nyinyi ni arsenal ya bongo,fungu menu ni malalamiko na kulialia
Mwaka huu yanga watachukuwa kombe la afrika najua kuna watakao bisha but this is the trueth na ninafikiri wengine watanitukana na kusema ninaota na wengine watajiuliza eti kwani itawezekanaje yanga iyi tunayo ijua ibebe kombe la afrika bro’s amini ninacho wambia and you will see
Mimi sio mganga wala nani bali naombeni Mungu awape nguvu ili mwisho wa msimu huu mrudie apa kuconment nilicho kiandika
Ahahaha🤣 Sawa nutakutag mkuu..Mwisho wa league ya afrika urudi apa na nita kuombea Mungu uwe mzima na mimi mzima ili uje kufuta sms yako
Matokeo ya Jana Wala yasiwe kigezo Cha kuitoa timu kwenyeTitle race. Kufungwa kwenye mechi za matamasha Kama la Jana hutokea na so kwamba timu inakuwa hovyo, hata Simba sc mwaka juzi kwenye tamasha lao la Simba day walikula chuma 3-0 toka Zesco United ya Zambia, lakini matokeo hayo hayakuakisi mwenendo na matokeo halisi ya SSC kwenye Vpl msimu huo. Tuwache propaganda na kukatishana tamaa. Kazi iendeleeTwende kwenye point jinsi uhalisia wa mambo yalivyo,kocha Nabi kasema mpaka timu iwe na muunganiko ni angalau miezi mitatu ipite.wakati Yanga wana mechi siku za karibuni,hapo nina uhakika mtakua mshatolewa CAFCL[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi mwenyewe nimeshangaa aiseethis is the trueth
nimeconment
Matokeo ya Jana Wala yasiwe kigezo Cha kuitoa timu kwenyeTitle race. Kufungwa kwenye mechi za matamasha Kama la Jana hutokea na so kwamba timu inakuwa hovyo, hata Simba sc mwaka juzi kwenye tamasha lao la Simba day walikula chuma 3-0 toka Zesco United ya Zambia, lakini matokeo hayo hayakuakisi mwenendo na matokeo halisi ya SSC kwenye Vpl msimu huo. Tuwache propaganda na kukatishana tamaa. Kazi iendelee
Tunakusubiri wewe Simba Nyama pori Tarehe 25/9/2021 ,yana tutakutafunatafuna na kunywa Supu yako bila huruma wewe si jeuri utaona kitakachokupata.Juzi nilisema hapa,kifurushi chenu cha kufurahi na kucheka kimekaribia kwisha baadhi ya wanautopolo mkanibeza
Ona sasa Jana kilichotokea..GSM wala hana habari maana business yake ya kuuza jezi na kutangaza magodoro inamwendea vizuri kabisa,tena kamuajiri manara aendelee kupiga Debe baaada ya kuona nugaz anapwaya
Acheni kujifariji,nyinyi ni arsenal ya bongo,fungu menu ni malalamiko na kulialia
Mama J FCTunakusubiri wewe Simba Nyama pori Tarehe 25/9/2021 ,yana tutakutafunatafuna na kunywa Supu yako bila huruma wewe si jeuri utaona kitakachokupata.
Matako ni Simba ambaye anasubiri kuliwa na kunywa Supu yake na Yanga kwenye ngao ya jamii Tarehe 25/9/2021. Naomba muweke kumbukumbu ya maneno yangu safari hii Kwenye Club bingwa Simba anatolewa mapemaaaaaaa.Kipigo kwa mechi zote akifurukuta sana katoa sare walau kamechi kamojaunafikiri kombe la Afrika ni matako
Sawa zigo la MoMama J FC