Kwa jinsi upepo wa siasa za chama cha mapinduzi unavyo kwenda na ukizingatia kilicho tokea pale ZFA ilipo kubaliwa kuwa mwanachama wa FIFA na baadae kuobdolewa, kuna kila dalili umakini ulio onyeshwa na Zanzibar heroes utaleta majanga .
Kwa kupitia mashindano haya Zanzibar imejipambanua kama nchi inayo jitambua yenye watu wanao ipenda nchi yao .
Hawakwenda kama Tanzania visiwani kama vile Tanganyika ilivyo jivika unafiki na kujiita Tanzania bara wakati hakuna Tanzania visiwani au pwani.
Nitafurahi sana Zanzibar ikiipiga Kenya ili Dunia ijue kuna nchi inaitwa Zanzibar inayo ongozwa na Tanganyika kwa kujivika jina jipya LA Tanzania.
Mimi Ni Mzanzibari Mpemba Lakini Huu Uzi Hauna Maana
Kwahani, mchanga mwingiUko wapi mfereji wa wima, dole, kibanda Maiti , bububu, jia la uzi, maharibiko, mpendae, Kiembe samaki au mwanakwerekwe au Markiti kuu?
Uko wapi mfereji wa wima, dole, kibanda Maiti , bububu, jia la uzi, maharibiko, mpendae, Kiembe samaki au mwanakwerekwe au Markiti kuu?
Kwahani, mchanga mwingi
Kwahani, mchanga mwingi
Nipo Magomeni Kwa Najim...
nikae Bububu Kwani Mimi Kiringo? Au Mpendae Kwani Mimi Turkey?
Kwahani Ni Wavuta Unga tu.. Wale Masada Poa Vipi pale Kwahani Bado wanajiuza? Au Ndiyo Kwasababu Mumeiua INTRO ndio na Wao Wamehama?
Unga kwa mashemeji zangu jang'ombe
Turkey ndo nini?