Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
....kuwa siku ya tarehe 31 mwezi huu ambayo ndio siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, idadi wa watumiaji wa tovuti hii wataongezeka sana kupita kiasi. Mpaka sasa rekodi iliyokwa ya watumizi wengi ni tarehe 16, mwezi machi mwaka huu kama inavyoonekana kwenye nukuu hii "Most users ever online was 5,663, 16th March 2010 at 04:08 AM."
Sijui siku hii kulikuwa na nini lakini tarajieni hiyo rekodi kuvunjiliwa mbali. Natabiri watu 10,000 kuangalia JF kwa wakati mmoja siku hiyo.....

Hauko mbali sana na ukweli, ila mimi nadhani kuwa siku hiyo wengi wa watumiaji wa mtandao watakuwa kwenye mafoleni kusubiria kupiga kura(maana ndio wenye ari ya juu kulinganisha na raia wengine), na pia watumizi wengi jumapili hawaingii ofisini(tarakilishi za bure), hivyo watakosa mawasiliano. Na hivyo mimi natabiri tarehe 1/11/2010 ndipo kutakuwa na watu wengi mtandaoni!....kuwa siku ya tarehe 31 mwezi huu ambayo ndio siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, idadi wa watumiaji wa tovuti hii wataongezeka sana kupita kiasi. Mpaka sasa rekodi iliyokwa ya watumizi wengi ni tarehe 16, mwezi machi mwaka huu kama inavyoonekana kwenye nukuu hii "Most users ever online was 5,663, 16th March 2010 at 04:08 AM."
Sijui siku hii kulikuwa na nini lakini tarajieni hiyo rekodi kuvunjiliwa mbali. Natabiri watu 10,000 kuangalia JF kwa wakati mmoja siku hiyo.....
kama jf itakuwa inapatikana........wasije wakaikolimba ili tusipate updates!!!