Habari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
WanaJF naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.