Natafakari nini cha kumfanya...

Vumilia tuu umeingia ktk mahusiano na single mother unategemea nini broo
 
Vumilia tuu umeingia ktk mahusiano na single mother unategemea nini broo
Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ .
1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake

2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana

3.jina la mtoto wake anatumia ubini Gani wa baba yake mzazi Au baba wa mwanamke

4.umeshawahi kujiuliza ni kwanini jamaa hamudumiii mwanamke aliyezaa nae

5.ni kwanini baba wa moto hajihusishi na chuchote kuhusu mtoto wala huyo mwanamke

6.kama jamaa ndio alimuacha mwanamke ndio alimuacha mwanamke unajua ni kwanini alimuacha alafu wewe ndo umchukue

7.jamaa aliyemzalisha bado wanawasiliana na kama hawasiliani ikitokea siku jamaa anataka kumuona mtoto wake utamzuia

Copy and paste from
Mboka man
 
Kama uko kwenye hili jukwaa kwa muda zaidi ya miezi 3, watu waliandika sana kuhusu matatizo kama hayo au nyie ndio wale wajuaji sana, wanajua kupenda sana na wenye pesa za kuhonga sana, wenye Roho Nzuri sana? Watu walisema ukiwa na efl 10 honga mia moja tu, kama ni kula nendeni wote mkale, usilipe ada, usinunue vitu Vya ndani, NK. pitia nyuzi zilizoita utapata majibu
 
Mtoto hujamzaa ni jukumu lako pumbavu Bora ulie tu
Matusi sio hoja shekh!! Utakuta ulisomeshwa na baba wa kambo alafu leo unaoji vitu vya ovyo hivi tujielekeze kwenye hoja kuliko jazba na matusi.
 
I take the L as a man.
 
Shekh ndogo vp aisee sijui libwata yani ata sielewi yani
Pole bhanaa huu Uzi ndio uwe faraja yako.Baada ya muda utakuj hapa utabaki kucheka
alikua anakupa ndogo Kakaa 😂😂
Uwekezaji mkubwa kwa mda mfup imekuaje kuaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…