Natafta chuo cha uuguz ngazi ya cheti singida au mwanza

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
Rejea mada twajwa hapo juu kuhusu mada hiyo ya uuguzi.natafta chuo chochote kile kiwe na kozi ya uuguzi.unaweza nisaidia kama unavijua pia karo yake.sijalishi cha serikali au binafsi.ntashukuru sana
 
pale singida kipo cha serikali kipo ndani ya hospitali ila ada sijui
 
nenda kolandoto wewe pale wanatoa dipl na certf ya hyo nursng
 
Nenda Nkinga kasemee mambo ya maabara au Sengerema.
 
pale singida kipo cha serikali kipo ndani ya hospitali ila ada sijui

sawa brother ncheki kupitia email yangu au number yangu kwa maelezo zaid.waweza ukasend numb yako kwenda email hyo hapo juu
 
Itigi wilaya ya manyoni mkoani singida kuna chuo kinaitwa st gaspar ni kizuri kinatoa dip na cert wanaajiri pia utakapofanya vizuri ada sijui
 
Itigi wilaya ya manyoni mkoani singida kuna chuo kinaitwa st gaspar ni kizuri kinatoa dip na cert wanaajiri pia utakapofanya vizuri ada sijui

nashkuru sana.we ukipata ada usisite kunijuza kwenye email yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…