chinga4 Senior Member Joined Mar 18, 2013 Posts 131 Reaction score 58 Apr 20, 2014 #1 Toyota run x ya kununua natafta iwe mpyaa haijawah tumika tz. Mwenye nayo anambie bei na specifications
Toyota run x ya kununua natafta iwe mpyaa haijawah tumika tz. Mwenye nayo anambie bei na specifications
uhuru50 Senior Member Joined Mar 18, 2014 Posts 127 Reaction score 21 Apr 20, 2014 #2 chinga4 said: Toyota run x ya kununua natafta iwe mpyaa haijawah tumika tz. Mwenye nayo anambie bei na specifications Click to expand... Hiyo gar itakuchukua muda sana kupata unajua bei yake ya Japan na ushur wa hapa na kwenye soko mzunguko wake Mdogo wengi hawazilet ila jitahid unaweza kufa nikiwa
chinga4 said: Toyota run x ya kununua natafta iwe mpyaa haijawah tumika tz. Mwenye nayo anambie bei na specifications Click to expand... Hiyo gar itakuchukua muda sana kupata unajua bei yake ya Japan na ushur wa hapa na kwenye soko mzunguko wake Mdogo wengi hawazilet ila jitahid unaweza kufa nikiwa
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Apr 20, 2014 #3 kwanza angalia kama bado wanazitengeneza then ndo uagize, ila bei yake haishuki 20,000$
chinga4 Senior Member Joined Mar 18, 2013 Posts 131 Reaction score 58 Apr 20, 2014 Thread starter #4 Hazipendwi na watumiaji au?