mamabaraka
Member
- Oct 18, 2011
- 92
- 14
nilimaliza advance diploma in accountancy mwaka 2008, ninao uzoefu wa miaka miwili kwa kazi za uhasibu, afisa mikopo na usimamizi wa miradi, natafta kazi dar es salaam, ninao uwezo wa kutumia komputa vizuri. Pia naweza kuongea kiswahili na kingereza kwa ufasaha. Kwa yeyote anayetaka kuwasiliana nami kwa kazi ili kupata cv zangu na vyeti napatikana kwa email mamabaraka@yahoo.com. Asante