Natafta mchumba

Natafta mchumba

oil sumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
787
Reaction score
47
Mim ni mvulana mwenye umri wa miaka 21,natafuta mchumba wa kike umri ni miaka 17-20. Elimu kuanzia form 4,awe mweupe kidogo na hasiwe mfupi wala hasiwe mnene.

Asanteni
 
mm ni mvulana mwenye umri wa miaka 21natafuta mchumba wa kike umri ni miaka 17-20 elimu kuanzia form 4 hawe mweupe kdogo na hasiwe mfupi wala hasiwe mnene asanteni

majanga, we dogo - nini tena?
 
mi naona utampata yule hasiye mrefu,wala hasiye mfpi,wala hasiye na asila,hasiye na husumbuf kabisa.hau nimekosea tena?
 
oil sumu mbona wataka serengeti gals? kulikoni kuanzia miaka 17?
 
Last edited by a moderator:
mi naona utampata yule hasiye mrefu,wala hasiye mfpi,wala hasiye na asila,hasiye na husumbuf kabisa.hau nimekosea tena?

ni kweli kabisa hasiye na humbo baya.
Anayejua kupika hugali vizuri.
Hambae mwenye hutulivu.
 
Mbona ww haujaweka wathifu wako thatha? Je ww ni white/black, tall/short, mnene/mwembamba?
 
kumbe bado mvulana and yet you want a wife!!!

am wondering what the future holds for my kid
 
Kesho hunatupia na picha yako, sio hunathaminisha tu, masharti mengi, kama vip tupia picha huthaminishwe kwanza......!
 
Back
Top Bottom