Mushikeri kutokana na nini?Nadhani Kuna sehemu imepata mushkeri kwenye ubongo wake.
Tatizo ni hili. Unachokitafuta haki-exist. Kwa kifupi ni kuwa hakuna mganga wa ukweli.Sikubali haiwezekani mtoto afikishe miaka mitatu anaongea vizuri,alikua anabwabwaja maneno chungu nzima gafla tu akaanza kua na kigugumizi Toka hapo Yani anateseka sana kwenye kuongea hadi utamuonea huruma.
Hua najiuliza ni nini kilitokea sijawahi pata jibu.Hivyo natafta mganga amuague pengine huezi jua ya walimwengu mi nahisi kabisa Kuna mtu alimfunga mdomo kwa manufaa yake mwenyewe.
Sasa hapo sijui. Ila tambua kuwa ubongo unahusika Moja kwa moja katika masuala yahusuyo kuongea.Mushikeri kutokana na nini?
Alo we acha mtoto alikua anaongea vizuri bila tatizo lolote anapangilia maneno hadi basi gafla tu kama vile mtu amenyamanzishwa,mi mpaka Leo sijawahi kuamini kama ni tatizo la kawaidaSasa hapo sijui. Ila tambua kuwa ubongo unahusika Moja kwa moja katika masuala yahusuyo kuongea.
Degedege hajawahi kua nayo au labda kama siijui lakini malaria alikua anaumwa kama kawaida tu tunampa dawa kulingana na vipimoKabla ya hapo hakuwah kuumwa malaria Kali ikapelekea degedege
Pole sana. Kwa msaada mpeleke hospitalini, siyo Kwa waganga wa jadi.Alo we acha mtoto alikua anaongea vizuri bila tatizo lolote anapangilia maneno hadi basi gafla tu kama vile mtu amenyamanzishwa,mi mpaka Leo sijawahi kuamini kama ni tatizo la kawaida
Kinachonifanya nihangaike ni kua mwanzo alikua anaongea vizuri lakini alipofikisha miaka 3 tu kikamuanza asa kadri anavokua ndo chaongezeka badala kupunguaMkuu ebu elezea vizuri tatizo ni hicho kigugumizi tu au nini hasa?
Kama ni kigugumizi tu wala huhitaji kuhangaika.