Natafta mke

abousumaiya

Member
Joined
May 11, 2017
Posts
28
Reaction score
19
Aslaaam aleikum

Serious natafta mke muislaam ...umri Wangu ni miaka 36....awe na umri wowote Ila lazma aidha ajue dini au awe tayari kusoma dini

Awe na hofu na mwenyez mungu...awe tayari na majukumu ya ibada ya kiislam ikiwemo swala tano nk

Hata Kama ni c muislam awe tayari kucomvert
Ila pia awe tayari kwa kujistiri kiislam na ki sunnah kabisa

Awe tayari kutoshiriki Zina Mpaka baada ya ndoa
Ila awe mpole mcheshi sio Kama askari,pia Akiwa masogange style
Ndo maradhi yangu yalipo japo ntapokea mungu atakacho Nina

Ni pm kwa serious gul tu please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…