Natafta mrembo twende naye saanane rock city

Kusema mrembo pekee haitoshi mkuu,ungewawekea kabisa sifa uzitakazo,
Urembo wa mwanamke unategemea na mtazamo wa kila mtu na tunatofautiana.
 
Sura muhimu,,,

Mzigo kias

Lips saf

Maji ya kunde sio mweusi T wala mweupe PE
 
Acha kutujazia server za jf kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu,kuja kutafuta msichana humu wakati hujawahi hata muona wakati mtaani unakokaa wamejaa tele
Hawa ndio huwa wanaokotwa mabwepande bila kujua aliyewapeleka nani
 
Nasubiri mrejesho wa yatakayojiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…