Habari wakuu nahitaji kujua sehemu wanapouza NUNCHAKU (CHENI ZA KUNG FU) maana nilizo nazo ni local sana huwa zinachomoka niwapo mazoezini, hivyo anayejua ni wapi naweza kuzipata zinazouzwa madukani anijuze. Mimi ni mkazi wa Dar ila kwa sasa nipo Mbeya. Natanguliza shukrani zenu.