natafta nyumba yakupanga dar 200,000 per month sinza ,pliz naombeni msaada wenu

natafta nyumba yakupanga dar 200,000 per month sinza ,pliz naombeni msaada wenu

We jamaa kodi ya nyumba siku hizi tunaiongelea kwa dollars, hiyo nyumba ya hela za madafu utaipata kule mbagalaaaaa....
 
fanya 300.000 nikufanyie mpango wa ile ya kanumba
 
Back
Top Bottom