natafta nyumba yakupanga dar 200,000 per month sinza ,pliz naombeni msaada wenu

We jamaa kodi ya nyumba siku hizi tunaiongelea kwa dollars, hiyo nyumba ya hela za madafu utaipata kule mbagalaaaaa....
 
kama ya chumba kimoja au vwil apat? Au mnajishaua.
 
fanya 300.000 nikufanyie mpango wa ile ya kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…