Natafta pikipiki ya HONDA 110

Mtu_Mzima

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,134
Amani kwa wote.
Natafuta kununua pikipiki used ya honda 110 kawaida au ikiwezekana ile yenye special gear. Dar au moshi/Arusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni kwa sababu za kibiashara maana kuna watu wamezinunua miaka ya 80 n 90 mapaka sasa miaka ya 2019 wanazo na zinapiga mzigo. Wakizitengezeza tena ina maana ukinunua una uhakika wa kukaa mpaka miaka 20 bila kununua nyingine.
Ha ha haaa! Ni kweli mkuu hizi pikipiki roho ya paka
 
Hivi hii kitu ni kweli au porojo tuu??Maana najaribu kupata Picha ni kwa jinsi gani inafungiwa jembe na kulima!!???[emoji848][emoji848][emoji848]
Honda 110 ilikuwa inafungwa jembe la plate moja na inalima.
Ukishangaa hiyo, Kuna pikipiki ilikuwa inaitwa Yamaha AG 100 ulikuwa ukikosea kutega point pale kwenye engine ukiiwasha inarudi nyuma (reverse) badala ya kwenda mbele.
 
Achana na Ag ww .iheshimike ile kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…