Natafta Room yakuanzia maisha bukoba

Natafta Room yakuanzia maisha bukoba

Yukwapi

Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
90
Reaction score
170
Habari Wana JF
Nashukuru kwa wote walio changia ushauri katika harakati zangu zakutaka kwenda kutafta maisha bukoba katika Uzi uliopita na majibu nikwamba naenda kuuza senene.🙏🙏

Naam Sasa ninaomba kwa alieko bukoba naomba anisaidie nipate room Moja yakukaa 🙏🙏
 
Mji wa Bukoba ukupokee Kwa jina la Yesu
Malango ya mji huo yawe wazi kwa ajili yako Kwa jina la Yesu.

Kwa jina la Yesu, Bukoba ikukubali, ikupokee, na ukafanikiwe katika nchi ya ugeni
 
Ardhi, maji na mazingara yote ya kubaki afanikiwe

Bila kusahau wenyeji, majirani na wote.

Aminaaaaa
Ameeen ... Ardhi, maji, mazingira, hewa, wenyeji na wageni wamkubali na kumpokea

Neema ya Mungu iwe juu yake!

Mtume Paul anasema "Walipoiona neema niliyokuwa nayo wakanipa mkono wa shirika"

Na neema iwe juu yake ya kutosha na apate mkono wa shirika katika kila hitaji.

Bible say "Utakieni amani mji ule mliochukuliwa mateka, maana katika amani ya mji huo ndipo nanyi mtapata amani (mafanikio)

Hivyo tunautakia amani mji wa bukoka Kwa jina la Yesu ... Amani amani amani

Na katika amani hiyo akafanikiwe
 
Habari Wana JF
Nashukuru kwa wote walio changia ushauri katika harakati zangu zakutaka kwenda kutafta maisha bukoba katika Uzi uliopita na majibu nikwamba naenda kuuza senene.🙏🙏

Naam Sasa ninaomba kwa alieko bukoba naomba anisaidie nipate room Moja yakukaa 🙏🙏
Tafuta chumba yenye sehemu nzuri ya kuanika mashuka. Utanishukuru baadae.
 
Ingia PM yangu andika namba ya simu yako kama kichwa cha habari ili niweze kuisoma nkuunganishe na bibi yangu akupe chumba kwake .
Nb : kama una kiburi na vitabia vya vijana wa 2000 usije PM maana bibi hakawii kukutembezea kipigo uje kushitaki hapa
 
Back
Top Bottom