Mji wa Bukoba ukupokee Kwa jina la Yesu
Malango ya mji huo yawe wazi kwa ajili yako Kwa jina la Yesu.
Kwa jina la Yesu, Bukoba ikukubali, ikupokee, na ukafanikiwe katika nchi ya ugeni
Ameeen ... Ardhi, maji, mazingira, hewa, wenyeji na wageni wamkubali na kumpokeaArdhi, maji na mazingara yote ya kubaki afanikiwe
Bila kusahau wenyeji, majirani na wote.
Aminaaaaa
Tafuta chumba yenye sehemu nzuri ya kuanika mashuka. Utanishukuru baadae.Habari Wana JF
Nashukuru kwa wote walio changia ushauri katika harakati zangu zakutaka kwenda kutafta maisha bukoba katika Uzi uliopita na majibu nikwamba naenda kuuza senene.ππ
Naam Sasa ninaomba kwa alieko bukoba naomba anisaidie nipate room Moja yakukaa ππ
hahahaTafuta chumba yenye sehemu nzuri ya kuanika mashuka. Utanishukuru baadae.