Ninatafuta mtu wa kufagia zizi langu la nguruwe mara mbili kwa siku kama uko interested.
Mkuu kuwa serious please ukiona mtu yupo serious
khauka mdogo wangu!!
mbona naona kama likizo yako ni ndogo sana kwa ww kutafuta kazi ya tempo??? bora ingekuwa hata miezi 3!! vumilia kidogo!!
JISAJIRI HAPA UTAWEZA KUPATA NAFASI ZA KAZI KILA SIKU East African Career and Job-Hunting Blog | Google Groups
Helo wana JF, mi ni kijana wakiume umri 23 ni mwanafunzi wa chuo hapa dar natafta kazi ya temporary kwa mda wa mwezi 1 kuanzia jumatatu.. Kazi yoyote iliyo ya halali ilimradi nipate pesa kidogo yakujikim kwa mda huu walikizo.
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia please help.

mjifunze kufanya volunteering works kama unaona una elimu kazi huna nenda shule ya sekondari ujitolee kuwafundisha watoto ambao hawana waalimu kwenye area of ur specialization wao watakufikiria kukupa chochote cha kujikimu
Kijana, hata kama unatafuta kazi ya muda, jaribu kuandika sarufi zilizo sahihi. Tafadhali epuka makosa madogo madogo katika maandishi yako, inaonyesha kwamba uko careless. Kumbuka ujumbe/barua ndio inayokuwakulisha kwa mwajiri.
All the best.
mjifunze kufanya volunteering works kama unaona una elimu kazi huna nenda shule ya sekondari ujitolee kuwafundisha watoto ambao hawana waalimu kwenye area of ur specialization wao watakufikiria kukupa chochote cha kujikimu
Yah its a good idea sikuwahi kuifikiria, ila pia kufundisha watu wengi ni profesion kuelewesha watu wengi darasani sio jambo rahisi linahitaji ujuzi.. Lakini nashukuru kwa ushauri wako jambo la kuvolontier ni zuri sio kwenye elimu tu hata kwenye mambo mengine ya kijamii. Hivi hakuna makampuni au taasisi zinazofanya mambo ya volontiering hapa Dar, kama kuna unazo zifahamu naomba nijulishe
asante
Haaa! Na wewe yaani mwezi 1 umeona kipindi kirefu hicho? Hebu kaa nyumbani usaidie wazazi hata kulisha mifugo. Pia kwa ushauri wa jamaa mmoja hapo wa kujitolea ni wazo zuri kama unaona kukaa nyumbani ni taabu!!
Lakini kiingereza chako kinanipa mashaka kama huwezi hata kuandika Volunteering unategemea nini??
wewwe khauka wewe, kijana mdogo wa miaka 23, unajidai unatafuta sana kazi,,, mimi nnavojua wakati huu wa sasa vyuo vimefungwa kwa likizo fupi, huna haja ya kutafuta kazi, kaa nyumbani msaidie baba kazi zake, kama hana, saidia hata beki 3 pale hom kupika na kufua au shuguli yeyote pale nyumbani, huwezi kuniconvice kwamba nyumbani kwenu hakuna hata shuguli kidogo ya kinyumbani,,itakua hamuishi maisha ya mtanzania wa kawaida..,kwahiyo mdogo wangu nakushauri fanya kazi za kinyumbani kwa sasa, halafu wakati wa likizo ndefu ya august ile ya mwisho wa mwaka ndo ufanye field au temporary work...usiwe na haraka sana na maisha... Hata sisi tulipita hukohuko