Ningeweza chukua fursa ya kukusaidia juu ya tatizo la gar yako, lakin nimeshindwa kutokana na mahala unapopatikana ama site ilipo, hivyo ntakushauri kwa maswala ya kiufundi.
Kwanza nikujulishe tu kiufundi hakuna uhusiano kati ya music system circuit na circuits zinazozuia gari kutowaka. That means huyo fundi aliyebadili music system kuna circuits amezi hitarafu bila ya yeye kujua huenda kwenye fuse box.
Maswali;
1. Hiyo Engine ina crank bila ya kupokea? Yaan starter inazungusha engine haiwaki.
2. Starter haizungushi kabisa?
Majib
1(a). Nenda ktk fuse box
Cheking brown fuses kama ipo badili kama hamna checking for ignition relay kwa kuunganisha direct( jumper wire) then washa engine. Kama hakuna further diagnosis needed ktk huo mfumo wa ignition kwa kuangalia components zake kama ignition cables, sparking plugs, no
(b). Checking for fuel system
>Pump and pump relay
> f/ filter
>sensors related
>purge valve if applied
2. Kama starter haizungush kabisa
Hapo cha kuangalia ni starting system ama powertrain control module (PCM) hii ni engine computer ambayo ndo ina control system zote za engine
Solution
If starter, checking relays and connect direct with jumper wire then start kama itawaka basi relay ndo tatizo kama haijawaka bas uchunguzi Wa kina unahitajika
Pia unaweza angalia computer relay na kuunga direct na jumper wire then washa engine.
Kama bado uchunguz wa kina unahitajika
So, kwa kufanya uchunguz wa kina kwa kila mfumo
Tumia OBD2 SCANER
If checking engine light is on
Sina meng ni hayo tu