Natafta vifaa na eneo kwaajili ya biashara ya chips Mbeya mjini

Natafta vifaa na eneo kwaajili ya biashara ya chips Mbeya mjini

Fallout

Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
12
Reaction score
4
Habari zenu wakuu!
Natafta vifaa vya chips used Mbeya mjini Kama kuna yeyote anauza naomba tuwasiliane pm.

Nahitaji eneo Mbeya mjini Kama kuna mtu anaeneo naomba tuwasiliane pia.
 
Back
Top Bottom