natafu karanga za kununu

natafu karanga za kununu

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
925
habarini za majukunu wana jf
natafuta karanga za kununua,ziwe kavu na ikiwezekana anipe bei kwa kila kilo naitaji tani zaidi ya 60
 
mkuu tuambiane kuhusu soko.
nadhani kwa sasa sehemu nyingi hapa nchini ndo wanaanza kulima. so kama vipi tujuzane ili tujipange.
1. soko lipo wapi?
2. tupe contacts au ni PM maana nilipo mimi naweza lima na kukusanya kwa wakulima wengine japo tani 5.
3. natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom