mkuu tuambiane kuhusu soko.
nadhani kwa sasa sehemu nyingi hapa nchini ndo wanaanza kulima. so kama vipi tujuzane ili tujipange.
1. soko lipo wapi?
2. tupe contacts au ni PM maana nilipo mimi naweza lima na kukusanya kwa wakulima wengine japo tani 5.
3. natanguliza shukrani