Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kupata agent wao maana alibaba ni soko yani ni soko la mtandao wanaouza vitu ni wauzaji wanaojitegemea tu yani sawa unavyoensa sokoni serikali ikawa imeweka jengo lakini bidhaa haiuzi serikali.Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,ninaitaji kuagiza mzigo China kwa kupitia Alibaba Sasa ninahofu ya kutumia njia ya mtandao kuagiza hivyo Kama Kuna agent wao waliopo hapa daresalaam naomba nisaidiwe kufahamu ofis zao zilipo.
Nashukru Sana mkuu,maana nilikua nahofu ya utapeli kununua bidhazaa kwa mtu ambaye humfahamHuwezi kupata agent wao maana alibaba ni soko yani ni soko la mtandao wanaouza vitu ni wauzaji wanaojitegemea tu yani sawa unavyoensa sokoni serikali ikawa imeweka jengo lakini bidhaa haiuzi serikali.
Kama una hofu unaweza kuwasiliana na silent ocean huwa wana wauzaji hukk china ambao wanaweza kuconnect nao wao wenyewe hata mpemba naona nao wanafanya hivyo siku hizi.
Ni hofu yako mkuu unaagiza na bidhaa inafika tu vzuri.
Wacheki silent ocean au tosh logisticsUlikuja pata agent? Maana mimi natafuta agent wakubeba mzigo wangu kwa meli kuja bongo!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,ninaitaji kuagiza mzigo China kwa kupitia Alibaba Sasa ninahofu ya kutumia njia ya mtandao kuagiza hivyo Kama Kuna agent wao waliopo hapa daresalaam naomba nisaidiwe kufahamu ofis zao zilipo.
Naomba contact zao za WhatsApp kama utakuwa nayomaana silent ocean yapata mwezi sasa nmewatumia email hawajajibu na WhatsApp pia yapata masaa 48 yamepita naona kimya labda hao tosh logistics nijaribuWacheki silent ocean au tosh logistics