Natafuta ajira au mfadhili wa kuniwezesha kibiashara

Natafuta ajira au mfadhili wa kuniwezesha kibiashara

Munirah seiph

Senior Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
108
Reaction score
107
Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:-

emoji1314.png
Stationary
emoji1314.png
Secretary
emoji1314.png
Duka lolote
emoji1314.png
Reception
emoji1314.png
Costumer Care
emoji1314.png
Wakala wa miamala Mbalimbali

Lakini Pia Kwa Wale Wenye Uhitaji wa Kumfadhili Mtu au Kama Unatafuta Mtu wa Kumkabidhi Biashara yako Na Kuja Kuchukua Faida yako Nina Udhoefu wa Biashara Zifuatazo

👉🏻 Kusimamia Mauzo Mapato na Matumizi

👉🏻 Biashara ya Kuagiza bidhaa na Kuuza

👉🏻 Biashara yoyote Ya Chakula (Grocery, Kiosk n.k)

👉🏻 Biashara ya Kuuza Nguo, Pochi Vipodozi n.k

👉🏻 Kusimamia Miradi midogo midogo


Nina uzoefu wa Computer Full Stationary Service Nimewahi kufanya sehemu Mbalimbali kwa kujitolea hivyo nahitaji kupata ajira kwasasa niko vizuri sana.

Nipo Dar es salaam Chanika.

Naombeni ni PM kwa maelezo zaidi

Asanteni
 
Zungukia mabar, huwa kuna changamoto ya macounter unaeza pata nafasi.
 
Hebu elezea hapa, kwa io dukani kwako unaajiri mtu ili na wewe ukafanye kazi kwenye duka la mtu? Kwanini?
Mtaji wangu sio mkubwa sana kufika kuajiri mtu ila mtu ambaye yupo dukani na yy anauza bidhaa zake so tumekuwa tunafanya share mda mrefu najiongeza ili nikajipate mimi kama mimi then nitaangalia kuweka mtu hapo baadaye ili kufanya shughuli nyengine kuongeza mtaji ukuwe zaidi
 
Back
Top Bottom