Natafuta ajira au mfadhili wa kuniwezesha kibiashara

Munirah seiph

Senior Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
108
Reaction score
107
Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:-

Stationary
Secretary
Duka lolote
Reception
Costumer Care
Wakala wa miamala Mbalimbali

Lakini Pia Kwa Wale Wenye Uhitaji wa Kumfadhili Mtu au Kama Unatafuta Mtu wa Kumkabidhi Biashara yako Na Kuja Kuchukua Faida yako Nina Udhoefu wa Biashara Zifuatazo

πŸ‘‰πŸ» Kusimamia Mauzo Mapato na Matumizi

πŸ‘‰πŸ» Biashara ya Kuagiza bidhaa na Kuuza

πŸ‘‰πŸ» Biashara yoyote Ya Chakula (Grocery, Kiosk n.k)

πŸ‘‰πŸ» Biashara ya Kuuza Nguo, Pochi Vipodozi n.k

πŸ‘‰πŸ» Kusimamia Miradi midogo midogo


Nina uzoefu wa Computer Full Stationary Service Nimewahi kufanya sehemu Mbalimbali kwa kujitolea hivyo nahitaji kupata ajira kwasasa niko vizuri sana.

Nipo Dar es salaam Chanika.

Naombeni ni PM kwa maelezo zaidi

Asanteni
 
Wish you all the best of luck sis Munirah.
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.

-Kaveli-
 
Zungukia mabar, huwa kuna changamoto ya macounter unaeza pata nafasi.
 
Nita ku pm kwa issue moja wapo uliyo taja.
 
Hebu elezea hapa, kwa io dukani kwako unaajiri mtu ili na wewe ukafanye kazi kwenye duka la mtu? Kwanini?
Mtaji wangu sio mkubwa sana kufika kuajiri mtu ila mtu ambaye yupo dukani na yy anauza bidhaa zake so tumekuwa tunafanya share mda mrefu najiongeza ili nikajipate mimi kama mimi then nitaangalia kuweka mtu hapo baadaye ili kufanya shughuli nyengine kuongeza mtaji ukuwe zaidi
 
Ameen πŸ™πŸ»

Munirah, umri wako sahihi kwasasa ni upi?

1. Mwaka 2021 ulisema una umri 26 yrs. πŸ‘‡πŸΎ


2. Leo mwaka 2024, unasema una umri 27 yrs. πŸ‘‡πŸΎ


-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…