Tatizo la watoto ndo hilo, mkiwa chuo mnabaki kudanganyana kuwa maisha ni mepesi baada ya kumaliza hivyo videgree vyenu, huenda nikawa na mawazo ya kipuuzi na wivu wa kike ila baada ya muda mtakiri kuwa niliwaambia ukweli, Huo uandisi wenu tena wa kukariri mishuko tu usiwape jeuri kuwa mambo ni mepesi kama mlivyokuwa mnadanganyana.
Umesoma civil nawe wajiona mjanja, cv yangu kielimu itabaki kwangu tu ila watoto mliomaliza chuo chini ya ukuu wa chuo wa Mukandala vichwa havijakaa sawa hata module hazikusomwa effectively coz mlikuwa mwakimbizana na mikopo, tuacheni tuliosoma nyakati za Luhanga tule shavu.
Kama kijana nakushauri weka mawazo yako yawe neutral, omba mungu awajalie kulingana na mapenzi yake ila nyie mwaamini mtaani kuna kazi zipo zawasubirini, no experience, huna godfather, no degree certificate then wataraji kupata kazi kirahisi eeh, mtakula ngenga na mazee twasongesha maisha.
Chungu lakini jitahidini muimeze dry.
Nawasilisha