Natafuta Ajira /Kazi ya Ulinzi, Storekeeper

Natafuta Ajira /Kazi ya Ulinzi, Storekeeper

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT


Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha.
(security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda kumuuguza Mama .


Pia nimewahi kuwa storekeeper katika godauni.

Kuhusu Mimi
Location nipo DSM
Sifa , Mchapa Kazi , mwaminifu


Hivyo yoyote mwenye Kazi either inahusiana na hizo nilizozitaja au nje ya hizo Mimi nipo tayari tufanye kazi.

Naomba unipigie Kwa namba hii

Kazi nilifanya hadi pale nilipopata changamoto ya kuuguza Mzazi wangu (Mama) hii ilipelekea kuacha Kazi Kwa kufata utaratibu maalumu.

Kuhusu Mimi , ni mchapa Kazi , mwaminifu na mtu wa Kutoa matokeo Kwa wakati.


Waweza kunipigia Kwa namba hii +255 718 038 005
 
Umefika wapi?
Sio unaleta maneno ya mbwembwe hapa...🤨

Mawasiliano ya awali yameshafanyika mkuu. Mambo yaliyobaki ni private siwezi kuyaweka wazi Kwa sasa.

Ila JF ibarikiwe Sana na comment yako imenifungulia njia Sana

Naomba Mungu akutunze , akuinue na akukinge dhidi ya maradhi ya dunia na husda za wanadamu.
 
Back
Top Bottom