When I say mlinzi wa silaha -means nafanya Kazi ya ulinzi kwa kutumia silaha .
Mfano -nimeajiriwa let say na Kampuni ya ulinzi SGA , Garda world and etc
Hivyo katika yale maeneo potential Kama , Diplomatic areas , bank , ubalozini n.k
Naweza kwenda kutoa huduma ya ulinzi Huku nikiwa na silaha .
Mlinzi wa silaha is added advantage kwangu, maana nimepita JKT .
Aina ya silaha Kama ####
Ur welcome