Natafuta ajira kwenye mambo ya Maendeleo ya Jamii

naturesolve

Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
18
Reaction score
21
Mimi ni mhitimu wa chuo cha kati, nina diploma ya maendeleo ya jamii.

Naombeni mnisaidie kupata connection ya ajira yeyote ile ambayo ninaweza nikafiti kutokana na elimu yangu, napatikana dar na number zangu za simu ni 0782519947.

Mungu awabariki kwa hisani hii.
 
Hivi mkuu inawezekana mtu kuishi katika dunia mbili tofauti kwasababu mimi kila nkilala naona kama vile nipo ulimwengu mwingine wa kitofauti nakuwa nakutana na watu wengine sijui ntaliweka vipi hili ili unielewe maana mimi pia silielewi. Ila kila napolala nahisi huwa nafungua mlango wa ulimwengu mwingine naendeleza mambo mengine nikiwa nimelala huwa nahisi kabisa ni kitu cha kweli mpka nasema ntakuja kusimulia lakini cha kushangaza kila napoamka huwa inakuwa ngumu sana kukumbuka yale niliyokutana nayo
 
acha kutazama movies. develop interest katika kusoma vitabu....wakati mwingine movies humfanya mtu aishi katika ndoto ndoto tu za matamanio ya ajabu ajabu
 
Shukrani mkuu ntajaribu hivyo ni muda sasa kila nikilala naona kama vile nipo katika ulimwengu mwingine kabisa napiga stori na watu wengine ni watu ambaye najua washafariki zamani ila nlikuwa na ukaribu nao tunaongea na kufurahi ila kila napoamka na kutaka kumemorize yale tuliyokuwa tunaongea ndo siwezi japo kuna mda nikishtuka usiku huwa nakuwa na memory kiasi
 
Back
Top Bottom