naturesolve
Member
- Jul 21, 2022
- 18
- 21
Hivi mkuu inawezekana mtu kuishi katika dunia mbili tofauti kwasababu mimi kila nkilala naona kama vile nipo ulimwengu mwingine wa kitofauti nakuwa nakutana na watu wengine sijui ntaliweka vipi hili ili unielewe maana mimi pia silielewi. Ila kila napolala nahisi huwa nafungua mlango wa ulimwengu mwingine naendeleza mambo mengine nikiwa nimelala huwa nahisi kabisa ni kitu cha kweli mpka nasema ntakuja kusimulia lakini cha kushangaza kila napoamka huwa inakuwa ngumu sana kukumbuka yale niliyokutana nayo
acha kutazama movies. develop interest katika kusoma vitabu....wakati mwingine movies humfanya mtu aishi katika ndoto ndoto tu za matamanio ya ajabu ajabuHivi mkuu inawezekana mtu kuishi katika dunia mbili tofauti kwasababu mimi kila nkilala naona kama vile nipo ulimwengu mwingine wa kitofauti nakuwa nakutana na watu wengine sijui ntaliweka vipi hili ili unielewe maana mimi pia silielewi. Ila kila napolala nahisi huwa nafungua mlango wa ulimwengu mwingine naendeleza mambo mengine nikiwa nimelala huwa nahisi kabisa ni kitu cha kweli mpka nasema ntakuja kusimulia lakini cha kushangaza kila napoamka huwa inakuwa ngumu sana kukumbuka yale niliyokutana nayo
Shukrani mkuu ntajaribu hivyo ni muda sasa kila nikilala naona kama vile nipo katika ulimwengu mwingine kabisa napiga stori na watu wengine ni watu ambaye najua washafariki zamani ila nlikuwa na ukaribu nao tunaongea na kufurahi ila kila napoamka na kutaka kumemorize yale tuliyokuwa tunaongea ndo siwezi japo kuna mda nikishtuka usiku huwa nakuwa na memory kiasiacha kutazama movies. develop interest katika kusoma vitabu....wakati mwingine movies humfanya mtu aishi katika ndoto ndoto tu za matamanio ya ajabu ajabu