Nilitaka kumpa ushaur kama huu.Kila la heri mkuu. Nakushauri pia kujichanganya na madereva bajaji tafuta rafiki ni rahisi kupata ukiwa road.
Ndio mara nyingi huwa hivyo na hata pia wanaotaka kuingia kwenye hii biashara huwa wanawaamini sana madereva. Huwa asilimia kubwa ya fursa za kazi wanawapa nafasi madereva wawatafutie watu wanaowaamini.Nilitaka kumpa ushaur kama huu.
Ni rahisi zaid maana Kuna maboss wataongeza bajaji. Kuna Maboss watabadilisha madereva bajaji na nk.
Kila la kheri Kaka.
Kila la heri mkuuShukrani sana Mkuu, ushauri wako nitaufanyia kazi🙏
Ndio mara nyingi huwa hivyo na hata pia wanaotaka kuingia kwenye hii biashara huwa wanawaamini sana madereva. Huwa asilimia kubwa ya fursa za kazi wanawapa nafasi madereva wawatafutie shukrani
🙏Ndio mara nyingi huwa hivyo na hata pia wanaotaka kuingia kwenye hii biashara huwa wanawaamini sana madereva. Huwa asilimia kubwa ya fursa za kazi wanawapa nafasi madereva wawatafutie watu wanaowaamini.