Natafuta ajira ya kunitoa kimaisha.

Criss Alex

Senior Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
111
Reaction score
10
Halloo wana JF mimi ni kijana muhtimu wa kidato cha nne na nilifanikiwa kupata four ya 33 nikiwa na D mbili ya biology na chemistry, cnauwezo wa kujiendeleza kutokana na ugumu wa maisha unaonikabili. Cna baba niko na mama nayeye hanauwezo wa kuniendeleza, anategemea msaada wangu ili mdogo wangu aliyeko darasa la 6 akihtimu darasa la 7 na kuingia form 1 niweze kumsaidia. Hvyo naombeni msaada wenu wadau! Email; crissalex1@live.com. Au nipigie +255719665022. Au +255688355306.
 
Kuna nafasi za jeshi la magereza zimetangazwa,zitafute.
 
hebu cheki na zile kazi za magereza mkuu ukipata utakuwa unafanya kazi, utamsupport dogo pia unaweza kujiendeleza kimasomo :A S 41:
 
tuko pamoja nawe changamkia post za magereza hizo :rolleyez:
 
Mimi nina matatizo ya moyo so magereza itafupisha maisha yangu.
 
Mimi nina matatizo ya moyo so magereza itafupisha maisha yangu.

mkuu umeanza kuchagua tena! hatukulazimishi ila nawe pia utumie akili yako na utashi pia kuona kama kazi unayoshauriwa uombe itakufaa au la ,kila la kheri katika utafutaji
 
Wakuu ninamatatzo ya moyo kwa muda wa miaka mitatu tangu niko kidato cha pili!
 
Kama una matatizo ya moyo hautakiwi kabisa magereza mafunzo yao ni kama jkt vile!!.pole sana.
 
Thanks brother b ut ukickia nafac yoyote ile inayonifaa please tell me my bro!
 
kagombanie ubunge Arusha mjini jimbo liko wazi mkuu pambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…