Natafuta Ajira ya Muda

Status
Not open for further replies.
Kwanini usiende Diploma either ualimu upate kazi baadae ujisomeshe sasa utaangaika msaada then unapoteza muda tu.
 
Wa Tanzania bado hawana jeuri dhidi ya tshirt,vilemba nk.Nasubiri uchaguzi ujao kule Arumeru Mashariki
Ccm wakishinda tena nasepa zangu abroad na kuzikwa itakuwa kulekule kama Balali.

kama una nauli ya kwenda majuu si uitumie kama capital. Pia nani kakudanganya balali ashazikwa?
 
Kwanini usiende Diploma either ualimu upate kazi baadae ujisomeshe sasa utaangaika msaada then unapoteza muda tu.

Tatizo nilichelewa kuaply diploma mwaka jana,kwasababu nilitegemea sana mkopo lakini ndo hivyo wakatuzingua.Ndio maana hapa natafuta tempo ili mwaka usogeesogee hadi aplications zitangazwe.
 
kaka njoo dodoma machuo kibao ushindwe wewe 2.

Unajua ni nini? Hapa natafuta tempo kidogo ili niweze angalau kusave pesa kidogo ili iweze kunisaidia kama wakinibania mkopo tena niweze kujilipia diploma.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…