Poleni na majukumu wakuu.
Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta.
Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika ili nipate hiyo nafasi.
Ahsanteni nadhani naweza pata msaada,Ili tusaidiane kupunguza ukali wa maisha na hali ya utegemezi katika ngazi ya familia na taifa kwa ujumla.