Natafuta ajira yoyote ndugu zangu betting imenishinda

Natafuta ajira yoyote ndugu zangu betting imenishinda

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓

Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya kutumiwa NGUVU tu au akili ikiwezekana, Mimi ni Wala Saba B au mwisho form2 secondary sikuendelea na shule, Asanteni sana 🙏 🙏
 
Juzi tu ulikuwa unachangia hoja vijana wapambane na hali zao au alikuwa mdukuzi Yule?
 
Nimefuatilia posts zako za nyuma ni kweli unaamaanisha mwenye nia ya dhati amsaidie huyu kijana

Screenshot_20240612-215909.png

Screenshot_20240612-215827_1.jpg
Screenshot_20240612-215953.png
 
Acha kuchukua mikeka au options kwenye ile thread ya wazee wa mikeka, utafirisika.
Mungu akufanyie wepesi nakuonaga kule na one cut zako.
 
Hana hilo gari, labda ni ndoto yake siku moja amiliki hilo gari. Mpe connection atimize ndoto yake, maana we ni mtu mzito.
Naelewa sema namzingua tuu mkuu😂😂, mkuu mwenyewe hali tete nakaza tuu kibishi kama wewe unayo connection muungie.
 
Leta ushahidi wa huo Uzi mkuu nipo nadhani hakuna kitu kama hicho
Nimeutafuta nimekosa. Wakuu mumuajiri kijana... sasa na wewe hela za kubetj si ungejipelekaga hata gereji mana hapo ulipo mtu anakuajir kama nani sasa?
 
Wakuu, mwenye ajira au kazi yoyote amsaidie jamaa, JF ni jeshi kubwa naamini kuna watu mnaweza kumuajiri jamaa, ameanza kutafuta kazi, tumsaidie jamaa apate sehemu ya kumsaidia kutimiza mahitaji yake
 
Back
Top Bottom