Natafuta ajira yoyote ya halali

Joined
Jul 20, 2024
Posts
46
Reaction score
49
Habar wakuu nina umri wa miaka 29 natafuta kazi yeyote ya halali kwa taaluma ninachet cha hotel kama housekeeper na waiter ambayo nitalipwa mshahara kuanzia 300,000 kwa mwezi.

Pia najua kuendesha gari, sijasomea.

Nipo DODOMA ila kokote naweza fanya kazi.

Kwa manual work nahitaji ambayo naweza ingiza kwanzia 10k per day
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…