lovehawa New Member Joined Nov 15, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Dec 2, 2018 #1 Habari ya humu jamani mimi ni mgeni wa jamiiforms...shida yangu nina mdogo wangu kasomea records management cerficate anatafuta kazi....samahanini kwa usumbufu
Habari ya humu jamani mimi ni mgeni wa jamiiforms...shida yangu nina mdogo wangu kasomea records management cerficate anatafuta kazi....samahanini kwa usumbufu
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,361 Reaction score 21,680 Dec 2, 2018 #2 Kwa degree zilizozagaa mitaani, na masterz nyingine zimeekwa mfuko wa nyuma, mwambie dogo arudi darasan haraka iwezekanavyo
Kwa degree zilizozagaa mitaani, na masterz nyingine zimeekwa mfuko wa nyuma, mwambie dogo arudi darasan haraka iwezekanavyo
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Dec 2, 2018 #3 Anajua kulima?