Daah!miaka 44 bado unatafta ajira ...we njisia gan!Habari zenu wote. Nina umri wa miaka 44 na ninatafuta ajira. Niko kwenye matatizo na hali yangu kiuchumi ni ngumu. Nina uzoefu wa mambo ya stationary, kuuza duka, reception. Ninaishi Kijichi na niko tayari kuanza hata Jumatatu ijayo. Nitashukuru msaada wenu.
Njoo ujiunge kwenye group la telegram la kazi,nakuwekea link hapa chini.Habari zenu wote. Nina umri wa miaka 44 na ninatafuta ajira. Niko kwenye matatizo na hali yangu kiuchumi ni ngumu. Nina uzoefu wa mambo ya stationary, kuuza duka, reception. Ninaishi Kijichi na niko tayari kuanza hata Jumatatu ijayo. Nitashukuru msaada wenu.
Mkuu kilichokushangaza nini hapo, bado dunia hujaijua vzr, ukiona mtu kazeeka bila mali usifikiri alikuwa hatafuti au ni mjinga.Daah!miaka 44 bado unatafta ajira ...we njisia gan!
Ni kiclink to join inakataa ila nitaendelea kujaribu. AsanteNjoo ujiunge kwenye group la telegram la kazi,nakuwekea link hapa chini.
JOBS SEEKERS & EMPLOYER
Mwanamke, mama wa watoto wawiliDaah!miaka 44 bado unatafta ajira ...we njisia gan!
kwenye simu yako kuna application ya telegram?Ni kiclink to join inakataa ila nitaendelea kujaribu. Asante