Natafuta Ajira

Natafuta Ajira

Lelah

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
7
Reaction score
9
Habari,

Nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni.

Umri: 21
Course: Marketing management
Level: Degree
Mahali: Ilala, Dar es salaam.
 
Utapigiwa simu na waaajiri asap tena ni new member
#Kimasihara
 
Habari.
Naitwa LEILA nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni.

Jinsia: Kike
Umri: 21
Course: Marketing management
Level: Degree
Nicheck kwa namba 0679448434, tumia Whatsapp zaidi
 
Habari.
Naitwa LEILA nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni.

Jinsia: Kike
Umri: 21
Course: Marketing management
Level: Degree
Aisee kumbe msomi hatari. Sasa vipi unaweza kuwa secretary?
 
Back
Top Bottom