Natafuta Ajira

Lelah

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
7
Reaction score
9
Habari,

Nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni.

Umri: 21
Course: Marketing management
Level: Degree
Mahali: Ilala, Dar es salaam.
 
Utapigiwa simu na waaajiri asap tena ni new member
#Kimasihara
 
Nicheck kwa namba 0679448434, tumia Whatsapp zaidi
 
Aisee kumbe msomi hatari. Sasa vipi unaweza kuwa secretary?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…