Zakayophillyx JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 306 Reaction score 103 Sep 8, 2012 #1 Jamani mi natafuta ajira mwenye nayo aniajili.
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 404 Sep 8, 2012 #2 Nenda makao makuu ya chadema wanaajiri vijana wa kutumika kwenye maandamano
Vegetarian JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 654 Reaction score 509 Sep 8, 2012 #3 Mkubwa ni vyema ungeweka wazi japo elimu yako,ujuzi/uzoefu wako ili wadau waweze kujuwa jinsi ya kukusaidia.
Mkubwa ni vyema ungeweka wazi japo elimu yako,ujuzi/uzoefu wako ili wadau waweze kujuwa jinsi ya kukusaidia.
Vegetarian JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 654 Reaction score 509 Sep 8, 2012 #4 Mkubwa ni vyema ungeweka wazi japo elimu yako,ujuzi/uzoefu wako ili wadau waweze kujuwa jinsi ya kukusaidia.
Mkubwa ni vyema ungeweka wazi japo elimu yako,ujuzi/uzoefu wako ili wadau waweze kujuwa jinsi ya kukusaidia.
H HIPSON Member Joined Mar 19, 2012 Posts 61 Reaction score 9 Sep 9, 2012 #5 kama una taaluma ya audio recording. Studio platnum Mafinga Iringa, studio mpya na ya kisasa inatafuta producer apply. namba ya simu 0754865777 au tigo ya 0655 namba hiyo hiyo. karibu
kama una taaluma ya audio recording. Studio platnum Mafinga Iringa, studio mpya na ya kisasa inatafuta producer apply. namba ya simu 0754865777 au tigo ya 0655 namba hiyo hiyo. karibu