Natafuta ajira..

Natafuta ajira..

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Kwa ajili ya mdogo wangu wa mwisho hapo Bongo; amesomea mambo ya International Diplomacy na Politics (of course like brother like sister!) na she is fluent in English and French, very reliable, ready to start, something in government won't hurt, and NGO or something.

She will be joining me sometimes in the near future for her masters.. so she could a very good asset to any department, agency or company.

Please contact me: mwanakijiji at jamiiforums.com for more information. Please provide me with your number ili niweze kuona jinsi ya kukuunganisha naye. She won't mind working for a super secret agency! (if you know what I mean)
 
now mwanakijiji unajiweka vulnerable na mafisadi......
the will hire her,just to be able to control u,and possibly use u through her......
watch my words........
 
I know Boss.. but sometimes some risks need to be taken; na mafisadi wenye fikra za namna hiyo hawajipendi.
 
Nimemwona kwenye facebook huyu. Ni chuma ile mbaya...
Is it an issue on front of his brother considering what he (her brother) looking for. If the truth were to be told you lack some african tradition respect, is better when you don't have material to share then you keep quite.
 
Nimemwona kwenye facebook huyu. Ni chuma ile mbaya...

Unaonekana ni mmoja wa wale wanaotembelea jukwaa la jokes tu kila kukicha. Badirika kidogo mkuu otherwise utashangaa hata job unaelekezwa kitu cha maana wewe waleta masihala. Jaribu kuwa serious na mambo ya watu basi kama yako mwenyewe ushayakatia tamaa.
 
Kwa ajili ya mdogo wangu wa mwisho hapo Bongo; amesomea mambo ya International Diplomacy na Politics (of course like brother like sister!) na she is fluent in English and French, very reliable, ready to start, something in government won't hurt, and NGO or something.

She will be joining me sometimes in the near future for her masters.. so she could a very good asset to any department, agency or company.

Please contact me: mwanakijiji at jamiiforums.com for more information. Please provide me with your number ili niweze kuona jinsi ya kukuunganisha naye. She won't mind working for a super secret agency! (if you know what I mean)

anaweza kutafuta kazi kwa njia ya mobile yaani anaandika neno kazi anaacha nafasi anaandika kazi anayotaka kulingana na taaluma yake then anatuma kwenda namba 15522. watakuwa wanamtumia latest jobs ads kwa taaluma yake via her mobile phone.

Naomba mungu awasaidie Mzee mwanakijiji
 
anaweza kutafuta kazi kwa njia ya mobile yaani anaandika neno kazi anaacha nafasi anaandika kazi anayotaka kulingana na taaluma yake then anatuma kwenda namba 15522. Watakuwa wanamtumia latest jobs ads kwa taaluma yake via her mobile phone.

Naomba mungu awasaidie mzee mwanakijiji

umesahau sms ya kwanza bure
zinazofwata 150 kila siku tshs
asietuma akashangaa doller zinaisha akakuisi umecheza dili
mungu amjalie apate kazi mapema;
ushauri wangu wana jf mkiwa mnaajira makazini mwenu embu weka
hadharani tusisubiri watu kuulizia ukimtoa jf1 umewaaibisha mafisadi 100
 
Kwa ajili ya mdogo wangu wa mwisho hapo Bongo; amesomea mambo ya International Diplomacy na Politics (of course like brother like sister!) na she is fluent in English and French, very reliable, ready to start, something in government won't hurt, and NGO or something.

She will be joining me sometimes in the near future for her masters.. so she could a very good asset to any department, agency or company.

Please contact me: mwanakijiji at jamiiforums.com for more information. Please provide me with your number ili niweze kuona jinsi ya kukuunganisha naye. She won't mind working for a super secret agency! (if you know what I mean)
Haaahaaa! You must send her to AC for approval. Anyway, if I hear anything I will let you know.
 
Kwa ajili ya mdogo wangu wa mwisho hapo Bongo; amesomea mambo ya International Diplomacy na Politics (of course like brother like sister!) na she is fluent in English and French, very reliable, ready to start, something in government won't hurt, and NGO or something.

She will be joining me sometimes in the near future for her masters.. so she could a very good asset to any department, agency or company.

Please contact me: mwanakijiji at jamiiforums.com for more information. Please provide me with your number ili niweze kuona jinsi ya kukuunganisha naye. She won't mind working for a super secret agency! (if you know what I mean)

Hivi Mwanakijiji kwani wewe uko wapi?Mbeya Vijijini or
Mie nikajua uko Bongo lakini hiyo sentesi hapo najiuliza maswali kibaooooooooo
namtakia dada Good Lucky
 
Kazi TZ zimekua issue sana.........afanye masters kidogo itakua rahisi kwake.
 
Yawezekana huo ni ushauri mzuri Semenya; lakini amekaa nyumbani muda mrefu asije akaniletea tumjomba twa ghafla.
 
hay andio matatizo ya kizazi cha leo, shule anatafutiwa, chuo anatafutiwa then kazi anatafutiwa, nafasi ya masters abroad anatafutiwa, lah mpaka basi, guys muwapatie elimu kuwa m2 unatakiwa udeal ana situation yako by yourself la sivyo watazidi kubweteka,
 
Yawezekana huo ni ushauri mzuri Semenya; lakini amekaa nyumbani muda mrefu asije akaniletea tumjomba twa ghafla.
Kwa nini asijiajiri mwenyewe kwa kuwa mjasiriamali? I mean kwa huo muda mrefu amekaa nyumbani angeanza biashara.Sio lazima aanze na mtaji kama Mengi,aanze kidogokidogo.inabidi ifike mahali waTz tubadilike,tusiweke tumaini letu kwenye ajira peke yake,tutafute njia mbadala.
Ni hayo tu.
 
Mwanakijiji, mi najitolea kumnunulia dada yako vitabu viwili vya 'Rich Dad Poor Dad' na 'If You Want to be Rich and Happy dont go to School' both by Kiyosaki!!

Nafikiri ni wakati muafaka kwake pamoja na wewe kuvisoma ili kuondokana na mtizamo (mindset)walionano watanzania wengi wa kusoma ili kufit katika soko la ajira!!
 
inabidi tuongee biashara mkuu...dili hilo live live...
 
Mwanakijiji, mi najitolea kumnunulia dada yako vitabu viwili vya 'Rich Dad Poor Dad' na 'If You Want to be Rich and Happy dont go to School' both by Kiyosaki!!

Nafikiri ni wakati muafaka kwake pamoja na wewe kuvisoma ili kuondokana na mtizamo (mindset)walionano watanzania wengi wa kusoma ili kufit katika soko la ajira!!
True! very good books, they have changed my whole life and its just a matter of time before i get out of "the rat race".
 
Mwanakijiji, mi najitolea kumnunulia dada yako vitabu viwili vya 'Rich Dad Poor Dad' na 'If You Want to be Rich and Happy dont go to School' both by Kiyosaki!!

Nafikiri ni wakati muafaka kwake pamoja na wewe kuvisoma ili kuondokana na mtizamo (mindset)walionano watanzania wengi wa kusoma ili kufit katika soko la ajira!!

Bravoooo!!!!!
RICH DAD POOR DAD nimesoma online,mkuu naomba hivo vingine kama unavyo softcopy.kama unavo niambie nikupm mail yangu unitumie.
 
Back
Top Bottom