Natafuta ajira..

True! very good books, they have changed my whole life and its just a matter of time before i get out of "the rat race".
Hi Carmel! Mambo? za siku mingi?
Kumbe unavyo hivyo vitabu ?Nikutafute uniazime! au kama una soft copy unitumie.
 
Hi Carmel! Mambo? za siku mingi?
Kumbe unavyo hivyo vitabu ?Nikutafute uniazime! au kama una soft copy unitumie.


Inaelekea vitabu hivi vimebeba material ya thamani sana. Kwa manufaa ya wana JF, mwenye access navyo aweke attachment humu tuelimike sote.
 
Wakuu naona tuashahama mada tena.Ok,kama mtu haviitaji urgently ntaweza msaidia mwezi May..ntaweza kuja na Hard copies kwa bei rahisi kabisa

@mwanakijiji,Hiyo coz aliyosoma mdogo wako ni nzuri sana,nikipata connection ntakushtua.Hata mimi niko katika hiyo channel,degree ya pili mkuu.Namalizia nondoz
 
Bravoooo!!!!!
RICH DAD POOR DAD nimesoma online,mkuu naomba hivo vingine kama unavyo softcopy.kama unavo niambie nikupm mail yangu unitumie.


Unfortunately nina hard copies tu, lakini ukiingia kwenye mtandao wake wa richdad.com utapatasoftcopy ya kitabu hicho na vingine alivyokwisha toa.

Nawashauri watanzania wenzangu wasome hivyo vitabu, they will never be the same again!!

Binafsi vimenisaidia sana, I'm planning to retire in 2013, 24 years before my legal retirement age because I'm already out of the rat-race!!
 
Wakuu naona tuashahama mada tena.Ok,kama mtu haviitaji urgently ntaweza msaidia mwezi May..ntaweza kuja na Hard copies kwa bei rahisi kabisa

Vipo bookshop vingi tu Mkuu, problem yetu ni ile ile...hatuna culture ya kupita bookshop na kununua vitabu kwa ajiri ya kusoma sisi na familia zetu!!

Wenzetu kutoka nje wanakuja na financial education tu bila hata dollar moja, baada ya miaka 2 or 3 they are millionnaires if not billionnaires!
 
Mku brooklyn umenena,

Umeniharibia biashara lakini,lolest!
 
Duh hivi vitabu ingefaa viingizwe kwenye mitahala vyuoni pengine vinaweza kusaidia vijana wetu wanaomaliza shule na kubaki na mawazo ya kuajiriwa maisha yao yote.Nimefarijika sana kusikia wanajamvi wengi wameshavisoma hivi viatabu kwa kweli ni vizuri sana.
 


amemaliza Chuo bongo karibu mwaka mmoja uliopita; na sikutaka kuingilia kati zaidi ya kumpa ushauri na yeye mwenyewe amejitahidi sana kutafuta kazi na hadi amefikia mahali pa kukata tamaa. Hii ndiyo sababu ya kumsaidia wakati huu; asiyeomba msaada hasaidiwi.

Aliponipigia alianza "kaka, nimejaribu sana.." Na moyo wangu ukaguswa.
 
mwanakijiji ni PM nikupe email address dogo tumsaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…