Natafuta Alarm system ya gari yenye bei ya kawaida

Atlast nimempata

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
386
Reaction score
680
Namshukuru Mungu kwa neema zake nimehamia kwangu.

Changamoto ni ka usafiri kangu kanalazwa nje!

Nilikuwa naomba mwenye kujua bei ya "alarm system" ya kupiga makelele kwa saana mtu akiigusa anijuze!

Tutafanya biashara na commission juu!
 
Hizo za kawaida ni rahisi mno kuwa jammed
Ikiguswa mara ya kwanza itapiga kelele .. Itakuchua tena sekunde 20 mpaka 40 kupiga kelele tena hata kama imeguswa tena.. Hivyo wezi hufanya timing hapo
 
Tumieni hii ambayo ni solar generated.. Mwizi hawezi hata kuikaribia gari kabla hajapigiwa kelele za kufa mtu .. Na hii italinda gari na nyumba

Bei pamoja na usafiri haifiki laki
1708635251910.jpg
1708635257615.jpg
 
Kama uko vizuri njoo inbox nikuuzie auto watch yangu nilitoa kwenye gari..hiyo hata mtu akiondoka na gari inalizima ndaninya dk 1.
 
Autowatch ni nzuri sana kama mtu anataka kuiba gari yote lakini kama ni kuiba spare inapigishwa short tu kisha wana wanafanya yao
 
Hizo za kawaida ni rahisi mno kuwa jammed
Ikiguswa mara ya kwanza itapiga kelele .. Itakuchua tena sekunde 20 mpaka 40 kupiga kelele tena hata kama imeguswa tena.. Hivyo wezi hufanya timing hapo
Nzuri ni bei gani?
 
Back
Top Bottom