Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau salaam!
Nimepata fursa kwa mdau aliyepo nje ya nchi anataka kununua Almasi kwa hapa Mwanza na mimi sina connection yoyote!
Please kama kuna dealer au anayeweza kunilink musaada! PLEASE HII NI SERIOUS ISSUE. Asanteni
Kuwa makini utaingizwa mjini au kuingiza mtu mjini watu wengi wametapeliwa kwa style hizo
consult mr. diamond platinumz!
ushauri mzuri kaka! Mimi sio tapeli natafuta fursa ndugu!Kwanza utumiwe pesa uwe nayo mkononi then ndo uanze taratibu za kuuliza hiyo Almasi na unataka ya grade ipi ukiwa na Cash kuna wachimabaji Shinyanga, Mwanza wamejaa sana bt Cash iwepo usijekutumika kama daraja la kutapeli watu au wewe mwenyewe ni tapeli?
kijana unataka almasi kilo ngapi?
Hata wavuta bangi wanaruhusiwa JF where we dare to talk openly!
Wadau salaam!
Nimepata fursa kwa mdau aliyepo nje ya nchi anataka kununua Almasi kwa hapa Mwanza na mimi sina connection yoyote!
Please kama kuna dealer au anayeweza kunilink musaada! PLEASE HII NI SERIOUS ISSUE. Asanteni
ni pm namba yako kesho jioni ntakutafuta. Nitakuwa mwanza