Natafuta Aloe Vera Powder (Kwa Matumizi Ya Kunywa)

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,689
Habari Zenu Wakuu

Refer to the topic above.

Well nimekua nikisoma faida za aloe vera kwenye internet kwenye afya na mwili wa Binadam na jinsi inavyoweza fanya ngozi ya mtu kuwa nadhifu na yenye mng’ao asilia.

Nikawaza nikasema nikisema nitafute nichemshe majani yake na kunywa on small portions on a daily basis itakua usumbufu sana...na hilo zao nyumbani kwangu sina (sikutaka tafuta imported stuff cz nyingi fake na usanii mwingi)

Nikawaza kama kuna uwezekano wa kupata natural processed aloe vera powder nayoweza tumia kutengenezea kinywaji. i.e. kuchanganya na maji ya moto ikawa kama ndio chai yangu nikiwa mzigoni / home at the same tym gain the health benefits.

Ahsanteni.

Note:

Wale wa Kampuni za Network Marketing mnipitie mbali. Tusikwazane.
 
Nenda kwenye maduka ya dawa asili utapata
 
Yapo wapi ?? Najua yapo mengi.....nimeuliza huku niwe more exposed i.e. quality/processing et al

Ushawahi tumia ? Share your Experience

Price ??
Kukuelekeza yapo wapi inakuwa kazi ni vyema ungesema kwanza wewe uko wapi hapo itanirahisishia
 
Price ?? Ushawahi itumia ?? Ur experience ??
Bosi matumizi ya kitu hutegemea na tatizo lako unalotaka kulitibia ama nia madhubuti ya kutumia kitu hicho ni ili iweje nitakuachia uzi mfupi unaoonesha namna ya matumizi kwa baadhi ya maradhi, mambo ya gharama ni wewe na anaekuuzia huko dukani maana kila mtu huwa na taratibu zake za mauzo kulingana na vipimo alivyopima ama utakavyo hitaji akupimie, mimi kama tabibu wa dawa asili nitakudokeza kidogo

[emoji256] DAWA YA MARADHI YAFUATAYO[emoji256]
Dawa hii ni nzuri sana na hufanya maajabu yake ndani ya muda mchache. ...
[emoji271][emoji271]MAHITAJI[emoji271][emoji271]
[emoji117]Unga wa alovera
[emoji117]Unga wa mkunde kunde

[emoji298]Changanya dawa hizo kwa ujazo sawa
[emoji298]Chukua vijiko vitatu vya mchanganyiko huo kwa maji lita moja na nusu
[emoji298]Tikisa mpaka ichanganyike vizuri
[emoji298]kunywa dawa hiyo kikombe kimoja kutwa mara tatu
[emoji298]Utatumia chupa mbili za dawa hii yaani ya lita moja na nusu ya mwanzo ikiisha unachanganya na nyingine tena
[emoji298]hivyo itakuwa ni dozi ya siku nne

[emoji267]HUTIBU[emoji267]
[emoji117]Malaria sugu
[emoji117]kisonono &kaswende
[emoji117]U.T.I sugu
[emoji117]Mwili kuchoka
[emoji117]Kuongeza CD4
[emoji117]Shinikizo la damu
[emoji117]Amoeba
[emoji117]Mkojo mchafu

Kwa ushaur na tiba wasiliana nasi
 
Ngozi yangu itang’aa na kuwa yenye mvuto kwa mademu pia ?? Madoa madoa kama yapo yatasepa si ndio ?? [emoji16]

Kama kuna nyingine waweza recommend pia. Nitashukuru.
 
Ukitaka ngozi yako ing'ae na ipendeze iwe ya kuvutia zaidi, unaweza fika afisini kwetu makumbusho dar kuna mafuta ambayo tutakupatia utakua unajipaka na hayo madoa uliyo nayo yatakwisha, unaweza kunitafuta kwa wakati wako kwa kunipigia simu ama whatsapp +255 655 821 550
 
Back
Top Bottom