Natafuta Alteza, bajeti yangu ni milion 5 (tano)

Natafuta Alteza, bajeti yangu ni milion 5 (tano)

omutimbasafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
609
Reaction score
770
Wana bodi habari za majukumu na poleni kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na Raisi mstaafu B.W Mkapa.

Kama kuna mwana jamvi atakuwa na connection ya alteza ambayo ipo sokoni naomba aje PM, pesa ipo mfuko wa shati aje fasta na ukizingatia ijumaa ni weekend lakini pia ni IDDI.

Nawasilisha.
 
Kwanini usinunue Range Rover ni nzuri kuliko hiyo.
 
Kuna hii inauzwa View attachment 1519992View attachment 1519994
IMG-20200714-WA0014.jpg
View attachment 1519993
 
Wana bodi habari za majukumu na poleni kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na Raisi mstaafu B.W Mkapa.

Kama kuna mwana jamvi atakuwa na connection ya alteza ambayo ipo sokoni naomba aje PM,pesa ipo mfuko wa shati aje fasta na ukizingatia ijumaa ni weekend lakini pia ni IDDI.

Nawasilisha.
Punguza dau kidogo chief, hii chuma imeshuka sana hasa ya vyungu vinne, na ukipata ya vyungu sita ndio hadi kwa milioni 3 unajibebea
 
Back
Top Bottom