omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 609
- 770
😉Kwanini usinunue Range Rover ni nzuri kuliko hiyo.
Punguza dau kidogo chief, hii chuma imeshuka sana hasa ya vyungu vinne, na ukipata ya vyungu sita ndio hadi kwa milioni 3 unajibebeaWana bodi habari za majukumu na poleni kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na Raisi mstaafu B.W Mkapa.
Kama kuna mwana jamvi atakuwa na connection ya alteza ambayo ipo sokoni naomba aje PM,pesa ipo mfuko wa shati aje fasta na ukizingatia ijumaa ni weekend lakini pia ni IDDI.
Nawasilisha.
Bei gani mkuu unauza?
Nipo Mwanza.Upo wapi mkuu?