Natafuta anayeuza viti na vifaa vingine vya saloon ya kiume

Natafuta anayeuza viti na vifaa vingine vya saloon ya kiume

Marambo

Senior Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
104
Reaction score
66
Nataka kufanya biashara ya Saloon au Barber shop, natafuta anayeuza viti na vifaa vingine. Nipo tayari kwa biashara kwa haraka sana.

Nipo Dar.

Mawasiliano: 0622686575
 
Uko mkoa gani boss mawasiliano je, vipi budget yako ngapi?
 
Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Nipo dar mkuu naomba nikutafute vifaa vyote vya saloon ya kiume uhamie tu..kama utakuwa na watsapl ntakuchek pia
 
Nina kiti cha watu watatu, cha chuma kina sponge!, kingine ni cha kiofisi cha kuzunguka kina matairi na unaweza ku adjust height
 
Back
Top Bottom